Msuva aweka rekodi ya kuwa mchezaji bora wa Difaa Al Jadid

Msuva aweka rekodi ya kuwa mchezaji bora wa Difaa Al Jadid

kirerenya

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
1,696
Reaction score
2,253
Msuva.jpg

Kiungo mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania na klabu ya Difaa Al Jadid, Simon Happygod Msuva ametangazwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Agosti ndani ya klabu ya Difaa Al Jadid ya nchini Morocco.

Kiungo huyo wa kimataifa wa Tanzania,Msuva ametangazwa kuwa mchezaji bora wa mwezi uliyopita ndani ya timu hiyo inayoshiriki ligi kuu ya nchi hiyo inayojulikana kama Botola.

Msuva aliyejiunga na timu hiyo akitokea Dar es salaam Young Africans amekuwa akifanya vyema katika ligi hiyo huku akionekana tegemezi katika upachikaji mabao

Habari kwa hisani ya Bongo5
 
Tuongeze tuwe na wachezaji wakulipwa wengi huenda taifa stars ikaimarika.
 
rekodi gani hiyo ndo wakwanza au wa mwisho

huwezi jua
 
Kiungo mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania na klabu ya Difaa Al Jadid, Simon Happygod Msuva ametangazwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Agosti ndani ya klabu ya Difaa Al Jadid ya nchini Morocco.

Kiungo huyo wa kimataifa wa Tanzania,Msuva ametangazwa kuwa mchezaji bora wa mwezi uliyopita ndani ya timu hiyo inayoshiriki ligi kuu ya nchi hiyo inayojulikana kama Botola.

Msuva aliyejiunga na timu hiyo akitokea Dar es salaam Young Africans amekuwa akifanya vyema katika ligi hiyo huku akionekana tegemezi katika upachikaji mabao

Habari kwa hisani ya Bongo5

Kutoka spain mpaka Morroco sio mbali kabisa, aanze ndogondogo za kusogea huko spain hata darajamza chini
 
Maelezo mengi bila hata kusema hiyo rekodi.
Hao bongo5 ilipaswa kuandika Msuva amefunga magoli mangapi, ametoa assist ngapi au amepiga pasi ngapi.
Hiyo ingetosha kuonyesha ubora wa Msuva.
Kila la kheri Msuva.

Hivi hii timu inashika nafasi ya ngapi huko?
 
Msuva ameshakanusha jana hamna ajakua mchezaji bora wa mwezi ni uzushi wakibongo watu wasiokua na kazi hizi ndio porojo zao
 
Back
Top Bottom