Msuva:Matarajio yangu ni kucheza Spain au ufaransa

py thon

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
2,476
Reaction score
4,448
490580f67a556b116d5c386061ac2b49.jpg

Mshambuliaji wa Yanga Simon Happygod Msuva aliyetimkia Morocco kujiunga na moja ya miamba ya soka barani Africa amefunguka na kusema matarajio yake ni kwenda mbele zaidi na ukizingatia nchi ya morocco imepakana na mataifa 2 ambayo ni Spain&Ufaransa na wachezaji wengi wanaocheza ligi ya Morocco haswa vilabu vikubwa husajiliwa ufaransa lakini Msuva matarajio yake ni kucheza La liga
 
Akazane..inawezekana akitia juhudi

Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
 
490580f67a556b116d5c386061ac2b49.jpg

Mshambuliaji wa Yanga Simon Happygod Msuva aliyetimkia Morocco kujiunga na moja ya miamba ya soka barani Africa amefunguka na kusema matarajio yake ni kwenda mbele zaidi na ukizingatia nchi ya morocco imepakana na mataifa 2 ambayo ni Spain&Ufaransa na wachezaji wengi wanaocheza ligi ya Morocco haswa vilabu vikubwa husajiliwa ufaransa lakini Msuva matarajio yake ni kucheza La liga
Kwa Spain, la liga amechelewa ila league A anaweza toboa!
 
Kupitia Yanga Ni Ngumu kama Tanzania Ya Viwanda..

Msafwa
Mpoloto, Mbeya
 
490580f67a556b116d5c386061ac2b49.jpg

Mshambuliaji wa Yanga Simon Happygod Msuva aliyetimkia Morocco kujiunga na moja ya miamba ya soka barani Africa amefunguka na kusema matarajio yake ni kwenda mbele zaidi na ukizingatia nchi ya morocco imepakana na mataifa 2 ambayo ni Spain&Ufaransa na wachezaji wengi wanaocheza ligi ya Morocco haswa vilabu vikubwa husajiliwa ufaransa lakini Msuva matarajio yake ni kucheza La liga
Spain na Ufaransa hakuna mapinduzi cup huko
 
490580f67a556b116d5c386061ac2b49.jpg

Mshambuliaji wa Yanga Simon Happygod Msuva aliyetimkia Morocco kujiunga na moja ya miamba ya soka barani Africa amefunguka na kusema matarajio yake ni kwenda mbele zaidi na ukizingatia nchi ya morocco imepakana na mataifa 2 ambayo ni Spain&Ufaransa na wachezaji wengi wanaocheza ligi ya Morocco haswa vilabu vikubwa husajiliwa ufaransa lakini Msuva matarajio yake ni kucheza La liga
Akijituma kila kitu kinawezekana
Hana kipaji hicho

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom