Msuva ndiye mchezaji bora VPL

Msuva ndiye mchezaji bora VPL

babu na mjukuu

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2016
Posts
3,916
Reaction score
6,697
Msuva kachaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi.
Sioni wanayanga wakiwa na makeleeeelee mitaani na hata mitandaoni. Wangekuwa mikia FC tungekoma mitaani na hata mitandaoni.
 
kwa lipi yaani??
huu ni upuuzi, liCHURA lake limefungwa mara kibao alafu anakuwaje mchezaji boraa??
 
Back
Top Bottom