B babu na mjukuu JF-Expert Member Joined Jun 23, 2016 Posts 3,916 Reaction score 6,697 Nov 6, 2016 #1 Msuva kachaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi. Sioni wanayanga wakiwa na makeleeeelee mitaani na hata mitandaoni. Wangekuwa mikia FC tungekoma mitaani na hata mitandaoni.
Msuva kachaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi. Sioni wanayanga wakiwa na makeleeeelee mitaani na hata mitandaoni. Wangekuwa mikia FC tungekoma mitaani na hata mitandaoni.
nkuwi JF-Expert Member Joined Feb 11, 2013 Posts 4,806 Reaction score 5,347 Nov 6, 2016 #2 kwa lipi yaani?? huu ni upuuzi, liCHURA lake limefungwa mara kibao alafu anakuwaje mchezaji boraa??
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,020 Reaction score 79,098 Nov 7, 2016 #3 Tumeshazoea,kelele za nini?
INGENJA JF-Expert Member Joined Sep 11, 2012 Posts 4,990 Reaction score 4,259 Nov 7, 2016 #4 Nifah said: Tumeshazoea,kelele za nini? Click to expand... vyura jana wamerukaruka..!!tokea taifa mpaka msimbazi
Nifah said: Tumeshazoea,kelele za nini? Click to expand... vyura jana wamerukaruka..!!tokea taifa mpaka msimbazi
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,020 Reaction score 79,098 Nov 7, 2016 #5 INGENJA said: vyura jana wamerukaruka..!!tokea taifa mpaka msimbazi Click to expand... [emoji23] [emoji23] [emoji23] Wewe lia tu.
INGENJA said: vyura jana wamerukaruka..!!tokea taifa mpaka msimbazi Click to expand... [emoji23] [emoji23] [emoji23] Wewe lia tu.