Msuvaa

Kama mtu mwenye akili timamu unapaswa kujitofautisha nao
Ndio maana nikasema chadema wameshikwa na matumbo ya Kuhara,

Yale yako tayari hata kuolewa Kenya ili mradi stars ifungwe sijui hapo ndio Watakuwa wameingia ikulu ya magogoni?
 
Ndio maana nikasema chadema wameshikwa na matumbo ya Kuhara,

Yale yako tayari hata kuolewa Kenya ili mradi stars ifungwe sijui hapo ndio Watakuwa wameingia ikulu ya magogoni?
Kauli zako zinakufanya wewe na wao muwe kwenye kundi moja la wahuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…