Mswada;bajeti ya milioni 8 gari gani itanifaa isiwe na cc zaidi ya 1500?

Naombeni wadau maoni na ushauri

Tafuta Toyota Starlet ambayo ina CC 1300, hutapata shida ya spare kwani zipo nyingi mtaani used na mpya, mafundi wake wapo, nasisistiza ununue kutoka Japan usitumie show room za hapa kwani unaweza bambikiwa ya mtaani
 
Naombeni wadau maoni na ushauri
Kwa hiyo millioni nane nenda show room tafuta Passo unaweza kupata mpaka ya mwaka 2005. Usinunue kwa mtu . Siku mambo yakiwa magumu unaweza sajili uber na taxify bila shida ikakuingizia vihela kidogo vya kukupiga tafu
 
aisee
 
Naulizia RAV 4 Old model naweza pata kwa bei gani
 
Back
Top Bottom