Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
They should also use the experience from the American sub-prime mess.
Huwezi kuwa na mortgage kama huna credit rating system, wata li address vipi swala la credit rating bongo wakati we operate in a largely non-credit economy (at least for non corporate entities anyway)
Au mortgage hizi walengwa watakuwa kina nani? wafanyakazi wa serikali walilipa mikopo yao Benki ya nyumba au ndiyo ilikuwa mambo ya "bad debts" za Kawawa?
Hivi "Mortgage" ndio inaitwaje kwa Kiswahili?
Hivi "Mortgage" ndio inaitwaje kwa Kiswahili?
Pundit,
Nadhani Deposit ndio rehani. Au?
MM,
Mortgage ni rehani.
mzee hapana.. rehani ni pawning.. ambapo mtu anaweza kitu ili kupata fedha anazozihitaji halafu anarudi kukilipia kile kitu na kukigomboa...
mzee hapana.. rehani ni pawning.. ambapo mtu anaweza kitu ili kupata fedha anazozihitaji halafu anarudi kukilipia kile kitu na kukigomboa...