Mswahili akikuambia yuko busy ujue yuko kwenye mkutano wanaongea pumba

instagram

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,118
Reaction score
4,863
Siku zote ukiona mbongo hapatikani yaani yuko busy jua tu yuko kwenye mkutano au kikao ambacho wanalipana posho za vikao ila wanaongea pumba tupu, ndo manaa tangu uhuru vikao vyote nchi bado maskini, uchumi wa mtu moja ni mbovu ila mtu atakuambia nilikua busy na vikao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siasa za ujamaa zimtuletea umasikini sana
 
Niko bize kidogo, ntarudi kutoa comments

]
 
Aisee, kazi ipo [emoji15][emoji15][emoji15]
 
Siku zote ukiona mbongo hapatikani yaani yuko busy jua tu yuko kwenye mkutano au kikao ambacho wanalipana posho za vikao ila wanaongea pumba tupu, ndo manaa tangu uhuru vikao vyote nchi bado maskini, uchumi wa mtu moja ni mbovu ila mtu atakuambia nilikua busy na vikao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Fallacy of generalization. ...
But Tanzania na hasa CCM imekuwa ikidumaza private sector kwa nguvu zote toka uhuru,
Bado CCM inaamini successful business entity ni threat kwa power ya viongozi wake...
Zimekuwa issue za Uhujumu uchumi , kodi nyingine hazieleweki. .. mradi vikwazo tu
Alaf eti free education and free service ya vitu vingi to unproductive large society tunaendelea vip sasa
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Hizi comments ni [emoji91][emoji91][emoji91]
 
Back
Top Bottom