Mswahili anapobonga kimalkia wallah tumbo langu hupata majoto

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Sijui kuna nini kilichofichwa kwenye hii lugha ya kimalkia (English).

lugha zote duniani mswahili anaweza kuongea paspo wasiwasi nikamsikiliza vizuri lakini si kiingereza!
Yaani mswahili punde anapoanza kumimina ngeli walahi huwa napatwa na wasiwasi kumsikiliza kabisaa kiasi kwamba hadi huwa nakosa pointi zake kwa kupoteza umakini.
Ni nyerere na Kikwete pekee ambao walikuwa wakiongea kimalkia na kuwa na aman ninapowasikiliza!

Wengine wakianza tu!!!! U know... this...is...near to me Welcome...... kwakweli huwa napata tabu sana ku-gain point! Sijui hili tatizo lipo kwangu tu au na kwenu wadau!!!!
 
Yai ni lugha kama lugha nyengine muhimu ujumbe ufike,huwezi kuongea kiingereza kikafanana na cha aliyezaliwa buckingham palace wakatu wewe umezaliwa ikwiriri na kiingereza kwako ni lugha ya tatu kujifunza,baada ya lugha ya kabila lako na kiswahili.Wabaya ni wale wanaoongea kiswanglish.
 
alikuwa anasoma! nazungumzia wale wanaotiririka kutoka kichwani
Mkapa ndiye rais pekee aliyewahi kutokea TZ mwenye kiingereza kizuri kuliko wote.Kwa sasa Afrika mashariki ni Uhuru Kenyatta tu wengine ni tiamajitiamaji tu
 
Sijui kuna nini kilichofichwa kwenye hii lugha ya kimalkia (English).

lugha zote duniani mswahili anaweza kuongea paspo wasiwasi nikamsikiliza vizuri lakini si kiingereza!
Yaani mswahili punde anapoanza kumimina ngeli walahi huwa napatwa na wasiwasi kumsikiliza kabisaa kiasi kwamba hadi huwa nakosa pointi zake kwa kupoteza umakini.
Ni nyerere na Kikwete pekee ambao walikuwa wakiongea kimalkia na kuwa na aman ninapowasikiliza!

Wengine wakianza tu!!!! U know... this...is...near to me Welcome...... kwakweli huwa napata tabu sana ku-gain point! Sijui hili tatizo lipo kwangu tu au na kwenu wadau!!!!

Kati ya watu nnao wakibubali, pia yumo Mohamed Gharib Bilal yule alikuwa Makamo wa rais.
 
Back
Top Bottom