alikuwa anasoma! nazungumzia wale wanaotiririka kutoka kichwaniUmemsahau na Benjamin
mswahili yeyote hata huku mtaani wapoUmemlenga nani mkuu
Kwi kwi kwi....hiyo naona ni lugha toka northeast LondonDon’t worry me when I promise I promise, tomorrow me deliver to you.
Humjui mkapa wewe tena kaa kimya kbsalikuwa anasoma! nazungumzia wale wanaotiririka kutoka kichwani
Kweli jamas hamjui BENJAMIN MKAPAHumjui mkapa wewe tena kaa kimya kbs
Hiki cha wachina na wazambia kariakoo [emoji1]Don’t worry me when I promise I promise, tomorrow me deliver to you.
Mkapa ndiye rais pekee aliyewahi kutokea TZ mwenye kiingereza kizuri kuliko wote.Kwa sasa Afrika mashariki ni Uhuru Kenyatta tu wengine ni tiamajitiamaji tualikuwa anasoma! nazungumzia wale wanaotiririka kutoka kichwani
Sijui kuna nini kilichofichwa kwenye hii lugha ya kimalkia (English).
lugha zote duniani mswahili anaweza kuongea paspo wasiwasi nikamsikiliza vizuri lakini si kiingereza!
Yaani mswahili punde anapoanza kumimina ngeli walahi huwa napatwa na wasiwasi kumsikiliza kabisaa kiasi kwamba hadi huwa nakosa pointi zake kwa kupoteza umakini.
Ni nyerere na Kikwete pekee ambao walikuwa wakiongea kimalkia na kuwa na aman ninapowasikiliza!
Wengine wakianza tu!!!! U know... this...is...near to me Welcome...... kwakweli huwa napata tabu sana ku-gain point! Sijui hili tatizo lipo kwangu tu au na kwenu wadau!!!!