morimaghita
Member
- Sep 18, 2018
- 58
- 45
Dogo unasubiri nini? Mbona una kipaji cha "kuona" weka bango la "mganga toka Nyanchabakenye" anaona wachawi,anaona"wachafu" anaogesha nyota !!!!! hii nayo "uppercut jab watu chaliii!!! kama Francis Cheka, yaani umetuwezaaaa!!!!TUKUMBUSHANE
kununua miswaki
mipya mwaka 2019
Wengine humu
hamnunui miswaki
mipya mpaka
uwanguke chooni