Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
Mweee umekuwa mkali kweli leo.
anyway back to the topic: unashauriwa mswaki utumie ndani ya miezi 3 tuu ikishapita tupa nunua mwingine. Kuhusu madhara ya kuzidisha ni wamba unavyoupigia zaidi ya muda huo wa miezi mitatu nguvu yake inakuwa imekwisha ya kusugua meno na kutakatisha. inakuwa overused na matokeo inakuwa kama unajipakaza uchafu tena.
Kiafya mswaki should be kept in an open space where kuna hewa nyingi inapita na i suppose unapaswa usimamishwe kichwa juu hata ukiangalia vyombo vya kuekea mswaki kwa kidhungu Toothbrush Holder vina design ya kueka hivo.
Punguza ukali basi kidogo kaka au vipi..........
kwa ujumla wangu pia umepotea leo na ndio nikapata wazo ninunue mwingine,kuhusu muda nilioutumia mmh hata sikumbuki,anyway sasa nimeelewa ni ndani ya miezi mitatu tu,thanx JSLinaeza kuwa swali la kijinga, lakini kiukweli linanitatiza. na ni muhimu kwangu na watoto wangu, na huenda hata baadhi yenu.
Naomba majibu mujarabu ya kitaalamu,
Je ni muda gani optimum wa kutumia mswaki?
Madhara ya kuzidisha huo muda ni yepi (kaa yapo)?
Mswaki unaotumika currently kiafya unatakiwa utunzwe wapi na kivipi?
Kimshazari, wima, au chali, kichwa chini?
NB: Tafwadhaal nipo chini ya miguu yako, kaa huna input ione sred hii kaa kituo cha polisi.
ingawa hujasema unazungumzia mswaki gani, lakini hakuna muda specific unaopendekezwa kitaalam kuwa unafaa kutumia mswaki kabla hujautupa, muda wa matumizi unategemea aina na uimara wa mswaki. kumbuka kuna miswaki ya vidole, mpira, uzi (au nyuzi), miti, na plastiki (brashi za plastiki) ambayo ni ya kisasa zaidi.
kwa miswaki ya brashi za plastiki, unashauriwa kutumia mswaki hadi utakapoona nyuzi zake (zile za plastiki) zinachomoka au kupinda. ikifikia hapo unashauriwa kununua mwingine bila kujali muda gani umetumia hata kama ni siku moja kwani ikiwa imepinda haiwezi kupenya hadi kwenye mbavu za meno yako (sehemu za kati ya jino na jino) na fizi (gums) kwa ajili ya usafi muafaka wa meno na kinywa chako.
kwaa miswaki ya miti unatakiwa kuutafuna mara kwa mara (angalau kila baada ya siku tatu) ili kwezesha kusafisha hadi ehemu za katikati ya meno ako na usiutafune sana hadi ukarainika kupita kiasi.
miswaki ya nyuzi ni maalum kwa kusafishia kati ya jino na jino na kuondoa mabaki ya chakila na uchafu wa muda mrefu usiofikiwa kirahisi na miswaki mingine. huu unatakiwa kutumika hadi utakapodhoofika n akukatika.
miswaki mingine haishauriwi kutumika kitaalamu kutokana na uduni wake
utunzaji wake pia utehemea aina ya mswaki, lakini unashauriwa kuutunza kwa namna mabayo utabaki msafi na mkavu kwa ajili ya matumizi yanayofuata
kwa ujumla wangu pia umepotea leo na ndio nikapata wazo ninunue mwingine,kuhusu muda nilioutumia mmh hata sikumbuki,anyway sasa nimeelewa ni ndani ya miezi mitatu tu,thanx JS
mi sred mingine inaudhi sana! kwani we huoni kama jimswaki lako limeisha ukachonge jingine porini au ukanunue dukani?Je ni muda gani optimum wa kutumia mswaki?
Linaeza kuwa swali la kijinga, lakini kiukweli linanitatiza. na ni muhimu kwangu na watoto wangu, na huenda hata baadhi yenu.
Naomba majibu mujarabu ya kitaalamu,
Je ni muda gani optimum wa kutumia mswaki?
Madhara ya kuzidisha huo muda ni yepi (kaa yapo)?
Mswaki unaotumika currently kiafya unatakiwa utunzwe wapi na kivipi?
Kimshazari, wima, au chali, kichwa chini?
NB: Tafwadhaal nipo chini ya miguu yako, kaa huna input ione sred hii kaa kituo cha polisi.
mi sred mingine inaudhi sana! kwani we huoni kama jimswaki lako limeisha ukachonge jingine porini au ukanunue dukani?
Mbona Abdulhalim katoa angalizo zuri sana kama inavyoonekana hapa chini
"NB: Tafwadhaal nipo chini ya miguu yako, kaa huna input ione sred hii kaa kituo cha polisi.
"