Light saber
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 4,368
- 7,935
Nikianza mimi Huwa natumia mswaki wiki mbili Natupa,Yaani ukichange shape yake(ukianza kuchambuka ).
Wakuu Embu tujali afya ya kinywa.Unakuta mtu mswaki una Miaka miwili mpaka minne,.
Alafu unakuta mtu analalamika mdomo unanuka,Fizi zinauma,.
Kwa Hali hiyo ya kutumia mswaki mmoja miaka unafikiri utaacha kuumwa.