Light saber
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 4,368
- 7,935
Naipataje hiyo mkuu, Maana nina kazi ya kununua miswaki Kila baada ya wiki mbili au ikichambuka.Miswaki mingine uwa haichambuki kirahisi haswa ile ya Colgate. Hivyo basi wengine kubadili ni mpaka udondoke chooni au utimize mwaka
Supermarket ama pharmacy. Lazima uipate, tena unakuta iko pair kwa kifungashio chake. Haichambuki kabisa labda utumie zaidi ya mwaka huko ndio sina experienceNaipataje hiyo mkuu,Maana Nina kazi ya kununua miswaki Kila baadae y wiki mbili au ikichambuka.
Thank you,.Supermarket ama pharmacy. Lazima uipate, tena unakuta iko pair kwa kifungashio chake. Haichambuki kabisa labda utumie zaidi ya mwaka huko ndio sina experience
Utakuwa unanunua miswaki ya watotoNaipataje hiyo mkuu,Maana Nina kazi ya kununua miswaki Kila baadae y wiki mbili au ikichambuka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hadi panya akiuiba
hiyo ya Colgate ni mizuri sana huwa situmii mingine nje ya hiyo brand kwa miswaki.Miswaki mingine uwa haichambuki kirahisi haswa ile ya Colgate. Hivyo basi wengine kubadili ni mpaka udondoke chooni au utimize mwaka
πππππ daah wewe bhna.Hadi panya akiuiba