Mswati mfano wa kuigwa (?)

Mbu

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2007
Posts
12,752
Reaction score
7,861
...huyu ndio King Mswati ze second!...anadumisha mila, desturi na tamaduni ya Mwafrika, wakati huo huo akienda sambamba na maluxury ya kimagharibi.
Safi sana,...

...the 15th Richest Royal in ze world!
King Mswati II: King of Swaziland Age: 39 Going at $200 million He is Africa's last absolute monarch, assuming the throne when he was 18 years. His gets his wealth from investments and real estate. He reportedly loves to spend his money, starting with building palaces for each of his 13 wives.

pichani chini ni baadhi ya wake zake, ...walivyo warembo!
Ten BMWs for Swazi king's wives

There are enough BMWs for each of the king's wives
Swaziland's King Mswati III has bought 10 new BMW series 5 cars for his wives.
Swaziland's media reports that it has cost him $820,000. The 36-year-old king frequently hits the headlines with stories about his lavish lifestyle.
 
Sioni cha kujivunia kwa Muswati.Niliwahi kuhudhuria reeds festival moja ambapo yeye huchagua wake zake, no, ni aibu tupu.Ni udhalilishaji wa kijinsia!Halafu umesema anakwenda sambamba na "maluxury ya kimagharibi,"
hivi are you really serious kwamba what you call "maluxury ya Magharibi" ni kitu cha kujivunia?Mimi naona ni utumwa wa kishenzi ambao tunahitaji kuupiga vita kwa nguvu zetu zote.Hapana ndugu yangu I think you seriously need to change your mind set.

 
Hakuna cha kuiga apo ie embezzlement
 

Tikerra, wewe ni mama wa kwanza nini?
Najua mama yetu wa kwanza alihudhuria sherehe hizo!!!
 
...😀 nilijua tu kuna wataobisha bila kufafanua kiini cha ubishi wao...

Nimesema Mswati ni mfano wa kuigwa, katika kudumisha mila, tamaduni na desturi za kiafrika... mara nyingi nimeona akitekeleza hayo kwa mavazi, ngoma, kuoa wake wengi nk....

Niliposema anakwenda na wakati kwa mambo ya nchi za kimagharibi ni kwa mifano ya hizo picha za hao warembo, ambao kwa utajiri alionao, pia ameweza kuwanunulia magari ya kifahari aina ya BMW's na kuwajengea kila mmoja katika wakeze 13 mahekalu ya kifalme.

Sasa mlitaka awajengee nyumba za Tembe? au watembelee punda?

Mila na desturi za kiafrika zinatofautiana, hata hivyo si kwa kukumbatia tamaduni za kimagharibi na kiarabu ndio tujione mila, desturi na tamaduni zetu ni za kishenzi... nyie vipi bana...

...Tukipata Raisi Maasai ambaye mara nyingine atakuwa anatinga Lubega, itakuwa noma?

...au maendeleo maana yake rais mswahili mswahili hivi, maneno miiiiingi kama kawaida ya Waswahili?
 
Hiyo picha ya tatu naona huyo mke yuko na Mama aliyevaa "KIMONO", nadhani alienda kufanya shopping Japan.
 
Africa must be proud of African Culture, Mswati is the Son of Africa who is proud for being who he is. Big up for him.
Wazungu wametufanya kitu mbaya kiasi cha kudharau asili yetu, mila zetu na tamaduni zetu na kuziona ni za kishenzi.

Naunga mkono udumishwaji mila kwa asilimia 100% na Mswati ni mtu wa kupongezwa na kuigwa.

Wake wengi ni mila na desturi za makabila mengi ya Kibantu. Kuolewa na bikira ndio heshima ya mwanamke. Mila nyingi za kibantu ndilo lililokuwa lengo la shuka nyeupe siku ya harusi.
 
Nyie mnaozungumzia mila na desturi hivi mnajua mnachoongea ?

Mila na desturi zimegawanyika ktk makundi mawili. Zile zinazoiendeleza jamii , na zile zinazoibomoa jamii.

Hii ya kiongozi kuoa wake wengi na kujilimbikizia utajiri lukuki huku raia wa kawaida wamechoooka, ni UFISADI.
 

...mtindio, kuna waingereza wanasema hivyo hivyo, it's all personal opinions, iwe Conservative, Liberals au far lefts...

Kuna wanaodai kwanini wakatwe tax ili kuboresha maisha ya Malkia na wazawa wake,...

Lakini Mswati si unaona ana real estate business? si wanaonufaika ni jamii ya Swazi ni wananchi. Wake wengi katika jamii za kiafrika bado wengi wanatabia hiyo, so long as wanawamudu na kuwahudumia.

Mila na desturi za one wife-one husband ni mila za kimagharibi, ambao sasa wanaelekea kwenye single-parenthood na same sex parenthood!

Haijalishi kuwa kiongozi au la, hata Wamaasai bado wanaendeleza mila na desturi hizo, wengi wao hata akiwa na mke mjini, kijijini ana mama ye yo mwingine...
 
Sijui mwaka huu anachukua mke w ngapi? Halafu naulizi, wakati wa kuchagua huwa anaonja?
 

Attachments

  • DSCN0657.JPG
    45.8 KB · Views: 940
  • DSCN0692.JPG
    44.3 KB · Views: 827
  • DSCN0693.JPG
    37.7 KB · Views: 883
  • DSCN0694.JPG
    37.9 KB · Views: 487
  • DSCN0691.JPG
    126.6 KB · Views: 349
atakuwa mke wa 14, hao mabinti wanaolewa wakiwa bikra!......
 
Aisee hii jamaa Mswati ina maisha mazuri aisee looooh!! I wish I was him. Yaani kila mwaka inapata brand spankin' new pussy ambayo haijaharibiwa na mtu. It don't get no better than that....
 
Wadau naomba kuuliza swali dogo la nyongeza. Hivi Swaziland itakapotawaliwa na malkia, naye atakuwa anachagua viserengeti boys vyenye bikra vya kumuoa kila mwaka?
 
wanaharakati mpo wapi? kupinga huu uzalilishaji wa wanawake.
 
wanaharakati mpo wapi? kupinga huu uzalilishaji wa wanawake.

Hakuna udhalilishaji hapo. Hao totoz wanafurahia kujipitisha pitisha mbele ya mfalme wao. I just wish I was him. He is living it up.
 
atakuwa mke wa 14, hao mabinti wanaolewa wakiwa bikra!......

Na wengine hapo matiti yameanguka kama mama ambaye alitumia muda wake sawa sasa kunyonyesha. Je huyo naye ni natura virgin au ni ile artificial?? Nisaidieni wajameni.
 
atakuwa mke wa 14, hao mabinti wanaolewa wakiwa bikra!......

Naomba kujua rate ya UKIMWI huko kwa Mfalme, maana kama kila mwaka anafanya hivi basi ni wazi wasichana wengi wanajitunza ili tu waje wajaribu bahati yao kwa mfalme. Masikini wavulana wao hawana motisha lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…