Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Msigwa asifikiri kwamba CAF ni machawa wa mama wale ni professional
Kwanza atoe maelezo billion 30 zimetumikaje kwa sababu kwa macho ya kibinadamu hakuna chochote kilichofanyika ni kama uwanja umepigwa tu rangi
Nahukika katika vitu ambavyo CAF wanajuta ni kuwapa Tanzania Afcon hakuna kinachofanyika zaidi ya siasa na propaganda
Hata uwanja mpya unaojengwa Arusha usishangae ukakamilka na bado using na vigezo vya CAF nchi Inatafunwa bila huruma