Mpigania uhuru wa pili JF-Expert Member Joined Apr 12, 2023 Posts 3,380 Reaction score 6,376 Mar 13, 2025 #1 Msigwa asifikiri kwamba CAF ni machawa wa mama wale ni professional Kwanza atoe maelezo billion 30 zimetumikaje kwa sababu kwa macho ya kibinadamu hakuna chochote kilichofanyika ni kama uwanja umepigwa tu rangi Nahukika katika vitu ambavyo CAF wanajuta ni kuwapa Tanzania Afcon hakuna kinachofanyika zaidi ya siasa na propaganda Hata uwanja mpya unaojengwa Arusha usishangae ukakamilka na bado using na vigezo vya CAF nchi Inatafunwa bila huruma
Msigwa asifikiri kwamba CAF ni machawa wa mama wale ni professional Kwanza atoe maelezo billion 30 zimetumikaje kwa sababu kwa macho ya kibinadamu hakuna chochote kilichofanyika ni kama uwanja umepigwa tu rangi Nahukika katika vitu ambavyo CAF wanajuta ni kuwapa Tanzania Afcon hakuna kinachofanyika zaidi ya siasa na propaganda Hata uwanja mpya unaojengwa Arusha usishangae ukakamilka na bado using na vigezo vya CAF nchi Inatafunwa bila huruma
ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 9,091 Reaction score 21,087 Mar 13, 2025 #2 Nilimsikia anasema hawapaswi kufungua uwanja bila kumpa taarifa 😅🤣
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Mar 13, 2025 #3 CCM Wezi Zaidi Wanadumaza Maendeleo Ya Mpira Pesa Umepewa Kujenga/Ukarabati Hufanyi Pesa Zinagawanwa
evangelical JF-Expert Member Joined Nov 21, 2011 Posts 5,035 Reaction score 8,218 Mar 13, 2025 #4 Jamaa ni mropokaji
U Unyangwe Member Joined Sep 12, 2024 Posts 90 Reaction score 82 Mar 15, 2025 #5 Aibu kubwa itatupata watanzania kwa uongo,wizi,uchawa,ukanjanja wa viongozi machawa kila jambo tunamshukuru sijui nani vile,kwakutoa bilion 30, kukarabati mkapa lupaso iliyofungiwa na CAF ,tunamshukuru mama kwa CAF kufungia uwanja
Aibu kubwa itatupata watanzania kwa uongo,wizi,uchawa,ukanjanja wa viongozi machawa kila jambo tunamshukuru sijui nani vile,kwakutoa bilion 30, kukarabati mkapa lupaso iliyofungiwa na CAF ,tunamshukuru mama kwa CAF kufungia uwanja