Hello Jf
Nimekuwa najaribu kuistall SQK 2005 Kwenye machine moja...au mbili kwa wili mbili sasa...lakini inapofikwa kwenye MSXML6 Ina fail na vingine vyote vina fail kama database,report etc.
Kuna mwingine jamani ameshakuatana na swala hili,
Regards
Buswelu