Mt 4 na mt 5 zimeliwa kichwa kwa IoS use wazee wa FX r

Kama kweli itaathiri dunia nzima hii kitu na hapa ndio tunaona namna gani wazungi wasivyo na akili
 
Jifunzage hata kusoma mkuu, mbona unakimbilia kupost kabla ya kusoma?

Sasa huku ni USA?
Mkuu una iphone!? Nenda appstr zen njoo apa ukiikuta ila kAma ipo unayo bas usiipoteze maana uwezi ipata
 
Izo ni apps za kutrade forex katika simu janja hata computer sasa kweny apple store na watumiaji wa iphone hawana access ya kuzidowload na hazitosapot katika simu za iOS izo Iphone zote
Mambo ya kudaunilodi hela?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…