Stori za kufikirika tu hizi....juzi tu hapa kabla ya ukoloni bara la Africa kulikua hakuna mtu anaejua kusoma wala kuandika..
Watu walikua hawajui chochote,hawavai nguo,hawana moto,etc...na hii ni juzi tu 1700...
Hebu hizi alinacha wawe wanajipigia hizo stori wenyewe...its pathetic