Mtaa mzuri kibiashara Mbeya

Jane Lowassa

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2016
Posts
4,955
Reaction score
9,041
Wakuu heshima kwenu. Nipo nna mpango wa kufungua pharmacy hapa Mbeya lakini sijajua mtaa gani unafaa kibiashara. Naomba ushauri kwa yeyote mwenye uzoefu. Asante
 
Pharmacy inahitaji sehemu yenye mkusanyiko wa watu karibu na zahanati/hospital/shule/soko nk

Ukiwa unasubiri wenye uzoefu Waje mkuu
 
Soweto, uyole pamoja na njia ya kwenda isanga ukitokea kabwe.
 
Iyunga ndani (Lumbila) kuna watu nyomi sana HIV na life gumu hivyo hawaishi magonjwa sehem ingine ni Mbalizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…