Regent
JF-Expert Member
- Oct 9, 2020
- 2,306
- 3,569
Kuna Ka interview fulani inabidi nikafanye ni kazi isiyo na maslahi sana pia kuna position za manual work ila mtaa ulivyoneonesha rangi zakila namna inanibidi tu nijiandae na msuri mnene kama naenda Interview BOT au TRA.
Hakuna rangi nimekosa iona nyekundu, uzurungi, manjano, kijani kibichi, zambarau, kijivuiivu.
Yaani unakaa mtu unapumua ukitoa punzi nje mpaka inatoa sauti 'fyuuuuuuuu'
Hakuna rangi nimekosa iona nyekundu, uzurungi, manjano, kijani kibichi, zambarau, kijivuiivu.
Yaani unakaa mtu unapumua ukitoa punzi nje mpaka inatoa sauti 'fyuuuuuuuu'