Mtaa upi K.koo nitapata wauzaji jumla wa ndala, yebo, flip flops na rainboots?

Mtaa upi K.koo nitapata wauzaji jumla wa ndala, yebo, flip flops na rainboots?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
69d1995677e74d01effefec4218efabf.jpg

e6b16e0ed94bc7f31b07f5e0da8ae64a.jpg

Karibuni wakuu mnielekeze.
 
Narungombe na Congo. Pale karibu na stendi ya mwendokas ya msimbaz B. Hapo utaulizia jengo la ddc frem namba 25 mpaka 48 kuna maduka ya jumla mengj sana ya wachina
Mkuu, WAnauza vitu kama hivyo nilivyotaja hapa juu?
 
Narung'ombe hapo utapata kuona na ulivyovisahau kuviandika kwa upande wa viatu, na kwa uhakika zaidi muulize mtu kwa mzee Mboro, hakika utaifurahia shopping yako
Ila Muhonda kwa hivyo viatu si ndiyo vinapatikana kwa wingi na bei nzuri Rafiki?
Maana Narung'ombe wengi huwa naona wanatoa huko...
 
Back
Top Bottom