Mtaa wa Mafia na Nyamwezi zamani

Mtaa wa Mafia na Nyamwezi zamani

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
MTAA WA MAFIA NA NYAMWEZI ZAMANI

Hii picha ya kwanza ni Mtaa wa Mafia na Nyamwezi na mbele ni Barabara ya Msimbazi.

Nyuma ni Mtaa wa Nyamwezi.
Nyumba ya Mzee Mussa Pazi iko mkono wa kulia haionekani kwenye picha.

Upande huo ndipo ilipokuwa nyumba aliyokuwa akiishi Sheikh Hassan bin Ameir.

Sehemu hiyo inayoonekana ndipo yalipokuwa yanatandikwa majamvi na Sheikh Hassan bin Ameir akiendesha darsa lake la Alfajir hapo.

Angalia hapo chini sehemu hii ilivyo hivi sasa picha inainyesha kona ya Mtaa wa Mafia na Nyamwezi:

Screenshot_20220622-050749_Facebook.jpg
1655868833083.png
 
Maaktaba imesheheni kumbukumbu nzuri, historia ina mengi ya kufunza japo kuna jitihada nyingi zimetumika kuipotosha

Mungu akulipe na akupe afya uendelee kutudadavulia na kutukumbusha katika Historia halisi ya hali ya wakati huo na sasa
 
Back
Top Bottom