Mohamed Said JF-Expert Member Joined Nov 2, 2008 Posts 21,967 Reaction score 32,074 Jun 22, 2022 #1 MTAA WA MAFIA NA NYAMWEZI ZAMANI Hii picha ya kwanza ni Mtaa wa Mafia na Nyamwezi na mbele ni Barabara ya Msimbazi. Nyuma ni Mtaa wa Nyamwezi. Nyumba ya Mzee Mussa Pazi iko mkono wa kulia haionekani kwenye picha. Upande huo ndipo ilipokuwa nyumba aliyokuwa akiishi Sheikh Hassan bin Ameir. Sehemu hiyo inayoonekana ndipo yalipokuwa yanatandikwa majamvi na Sheikh Hassan bin Ameir akiendesha darsa lake la Alfajir hapo. Angalia hapo chini sehemu hii ilivyo hivi sasa picha inainyesha kona ya Mtaa wa Mafia na Nyamwezi:
MTAA WA MAFIA NA NYAMWEZI ZAMANI Hii picha ya kwanza ni Mtaa wa Mafia na Nyamwezi na mbele ni Barabara ya Msimbazi. Nyuma ni Mtaa wa Nyamwezi. Nyumba ya Mzee Mussa Pazi iko mkono wa kulia haionekani kwenye picha. Upande huo ndipo ilipokuwa nyumba aliyokuwa akiishi Sheikh Hassan bin Ameir. Sehemu hiyo inayoonekana ndipo yalipokuwa yanatandikwa majamvi na Sheikh Hassan bin Ameir akiendesha darsa lake la Alfajir hapo. Angalia hapo chini sehemu hii ilivyo hivi sasa picha inainyesha kona ya Mtaa wa Mafia na Nyamwezi:
Waberoya Platinum Member Joined Aug 3, 2008 Posts 15,168 Reaction score 10,810 Jun 22, 2022 #2 Mzizima imechangamka miaka mingi sana Sasa hapo mtu kapaki gari zake nje kitaani
M Mshughulishaji JF-Expert Member Joined Sep 29, 2015 Posts 1,351 Reaction score 1,875 Jun 22, 2022 #3 Maaktaba imesheheni kumbukumbu nzuri, historia ina mengi ya kufunza japo kuna jitihada nyingi zimetumika kuipotosha Mungu akulipe na akupe afya uendelee kutudadavulia na kutukumbusha katika Historia halisi ya hali ya wakati huo na sasa
Maaktaba imesheheni kumbukumbu nzuri, historia ina mengi ya kufunza japo kuna jitihada nyingi zimetumika kuipotosha Mungu akulipe na akupe afya uendelee kutudadavulia na kutukumbusha katika Historia halisi ya hali ya wakati huo na sasa
Dormant Account JF-Expert Member Joined Apr 5, 2022 Posts 11,308 Reaction score 32,757 Jun 25, 2022 #4 Aisee