A
Anonymous
Guest
DAWASA tunaomba majibu ni kwanini hatupati maji kwa kipindi chote hicho na bila taarifa, na pia wakipigiwa simu wanadai wanashughulikia lakini hakuna chochote kinachoendelea.
Imekuwa ni changamoto ya kujirudia rudia isiyopata utatuzi.
Maji yatatoka wiki moja halafu watatuma bili baada ya hapo hayatoki tena.
Tunaomba tusaidiwe katika hili tunateseka wananchi.
cc Wizara ya Maji