Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vurugu gan tenaMtaani kwetu wamejaa waha yaani ni vurugu mechi.
naam.,.Mtaani kwetu kuna amani sana watunwanaishi kwa kushikiana sana...yaani hata leo ww ukiamua kuja kulala kwa mke wa mimi au mimi kuja kulala kwa mke wako haina shida...tunasaidiana sana kwa kweli
[emoji1787][emoji1787] hivyo umehamia mtaa wa 7...Nilishahama ila Ule mtaa Balaa. Chuki...Na Wamejaa Wasukuma wachawi balaaa.
Mboga Saba.Mtaani kwetu kila mtu yupo ndani ya geti lake na akitoka humuoni unaona tu gari au usikie honi ya gari....