Mtaa wenu una umaarufu gani?

Mtaani kwetu kuna amani sana watunwanaishi kwa kushikiana sana...yaani hata leo ww ukiamua kuja kulala kwa mke wa mimi au mimi kuja kulala kwa mke wako haina shida...tunasaidiana sana kwa kweli
 
Huku kijijini ni miti ya miembe, watu wako peace tu, kuna kilabu cha kaachini hapo pembeni kuna kanisa, full kelele, kilabuni rumba kanisani kwaya vurugu kama lote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…