Mtaa wetu umekuwa ni wa viwanda

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,106
Reaction score
12,916
Angalau kila nyumba ina kiwanda cha kutengeneza juice,
Pia kuna viwanda vikubwa vya kutengeneza barafu na ice cream
Kama hiyo haitoshi kuna kiwanda kikubwa sana sana cha kuchonga fenicha
Lakini katika hivyo vyote tuna kiwanda cha matofali ..hiki ndio kiboko.
Tuna kiwanda cha kuchomelea vyuma,ma grill ma gate duuh ...usipime
Bwashee kafungua kiwanda cha chips hepe yai
Masawe kafungua kiwanda cha nyama ..wenyewe mnaita bucha
 
Ntaani kwetu kuna viwanda vinavyotembea vya kuzaliwa magonjwa...
 
kiwanda chetu cha konyagimwitu mamwera wanachukua ngawira
 
hahaha majangazzz yaani nimeshindwa kabisa kuamini hili jambo
 
[emoji23] [emoji125] [emoji125] Hiyo ndo tafsiri ya Mbuyu kuanza kama mchicha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…