J Jericho Jr. Member Joined Jan 8, 2012 Posts 75 Reaction score 6 Feb 20, 2012 #1 kutokana na mabadiliko ya mtaala ya kidato cha tano na sita mwaka 2005 na 2007.kaka zangu na dada zangu naombeni msaada wapi naweza kupata mitaala mipya ya masomo ya PHYSICS CHEMISTRY NA BIOLOGY? JAMANI NDUGU WANA JF NAOMBA SANA ME NIPO A_TOWN
kutokana na mabadiliko ya mtaala ya kidato cha tano na sita mwaka 2005 na 2007.kaka zangu na dada zangu naombeni msaada wapi naweza kupata mitaala mipya ya masomo ya PHYSICS CHEMISTRY NA BIOLOGY? JAMANI NDUGU WANA JF NAOMBA SANA ME NIPO A_TOWN