Mtaala mpya wa elimu wazinduliwa nchi yote ya Kenya

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Huu ni mtaala ulioandaliwa kwa ushirikiano wa washika dau kutoka nyanja zote, madhumuni ni kuhakikisha wanafunzi wanahitimu wakiwa wajuzi, wafanisi, na watendaji, kinyume na ilivyo sasa ambapo wengi wanang'ang'ania kupata alama za juu kwenye mitihani lakini hoi kwenye ujuzi wa taaluma wanazosomea.

Kila mwanafunzi atafuatiliwa kwa umakini mkubwa kuanzia chekechea hadi atakapohitimu toka kwenye chuo kikuu.
Nia kuu ni kuhakikisha samaki hawashindani na nyani kukwea mti au kuogelea, kila mmoja atakua na fursa ya kukomaa na taaluma aipendayo tangu akiwa mdogo.

------------------------------------------------------------

The government Wednesday launched a new roadmap for the rollout of the proposed school curriculum.

It begins with a national piloting this year that culminates in the actual implementation in January next year.

The pilot starts immediately and will cover pre-school and Standards One and Two. It will also be done in Standard Three in a few schools.

Known as competence-based curriculum (CBC), the new system, which seeks to replace the current 8-4-4, focuses on skills instead of knowledge.

It is phased as follows: two years of pre-school, six years of primary school, six years of high school, and three years of tertiary education (2-6-6-3).

In its naming system, classes will henceforth be referred to as grades rather than standards as is currently the case.
PRE-SCHOOL

The actual implementation next year will cover pre-school up to Standard Four and move progressively up the system, with the pioneering students completing high school in 2027. In effect, 8-4-4 will continue until the last batch sits Form Four exams in 2026.

The piloting stage will involve training of all teachers, refining of the curriculum content, development of a framework for testing, and preparation of teaching and learning materials. Initially, the actual implementation was meant to start this year. However, that has been pushed forward by one year.

Launching the national piloting, Education Cabinet Secretary Fred Matiang’i explained that implementation of the new curriculum is being phased out to allow proper preparation and execution.

He said the piloting stage was part of the rollout of the curriculum, noting this will provide insights about its viability and areas requiring improvement, and hence better inform the actual implementation.

Dr Matiang’i made the announcement after chairing a meeting of the Curriculum Reform National Steering Committee held at the Kenya Institute of Curriculum Development in Nairobi.

“We are moving as planned and the activities that will take place this year are part of the rollout of the new curriculum,” he said.

CURRICULUM

“Contrary to what some may have thought, we are on track and all activities will be executed on schedule in readiness for full implementation of the curriculum,” he continued, adding that “this is a progressive change and will be done for the next decade”.

He clarified that Kenya Certificate of Primary Education (KCPE) and Kenya Certificate of Secondary Education (KCSE) exams will continue until the new system runs its complete cycle.

As part of the preparation for full implementation, the government, through the National Steering Committee and KICD, will finalise a sessional paper to provide policy direction on the new changes, prepare a legal framework and present it to Parliament for debate and approval, and engage county governments on management of pre-primary education.

All this will culminate in a national conference in August to review progress on piloting and consolidate all the processes to pave way for full implementation in 2019.

Speaking during the launch, Kenya National Union of Teachers secretary-general Wilson Sossion expressed support for the revised programme, saying teachers had been worried that some steps were being circumvented in the curriculum change process, which was contrary to international best practices.

TRAINING

“With the clarification and revision of timelines and schedule of activities, we ask all our teachers to embrace the new curriculum and be ready for training and implementing it,” he said.

The chairman of Kenya Publishers Association, Mr Lawrence Njagi, equally expressed support of the new curriculum and acknowledged that the revised scheduled would give publishers ample time to prepare teaching and learning materials appropriately.

The chairperson of KICD, Dr Sarah Ruto, said the institute will intensify public communication and stakeholder engagement to sensitise the public and all interest groups to ensure success of the new curriculum.

PREPARATION

For the past few weeks, Knut and independent education experts have voiced concern over how preparations for rollout of the new curriculum were being managed, with the accent being that stakeholders and key interest groups were not being adequately consulted, and that critical milestones — like preparing the sessional paper and developing a legal framework — were being side-stepped. Knut was also apprehensive of the level of teacher training and preparedness.

However, at the end of yesterday’s meeting, all the contentious issues were resolved, with Dr Matiang’i committing to robust and extensive consultation.

Among others, he challenged universities to take an active role in analysing the proposals and provide data and research knowledge to inform its implementation.

Finally, new roadmap for syllabus changes
 
Mtaala wa elimu bila miundombinu muhimu ya kutolea elimu ni kazi bure.

Sie Tanzania mpaka sasa kila shule ya secondary ina maabara tatu ya biology, chemistry, and physics kila shule ya serikali na hivi vyote vimeletwa na JPM mwenyewe the conquerer chezea bulldozer weye

Na elimu yenyewe bure hapo ndio patamu
 


GoK has released Sh29.5bn for free secondary education and Sh7.5bn for supply of text books in primary and secondary schools. Government subsidizing fee for boarding schools while in day schools, parents will only be required to pay for meals. New curriculum rolling out is immediately.
 
Nafikiri hujasoma maelezo yote na kuelewa,, rudia tafadhari
 
Hongera wakenya mmethubutu,, inatakiwa ifike mahali tusome kiafrika, sio kizungu,, mitaala iwe yetu wenyewe kama tunavyojifahamu na siyo ya waingereza
 
Sounds good.

Naona kuanzia January 2017 TZ walikuja na mpango unaofanana na huu wa KE kiasi flani.
 
Sasa hapa hamna cha ziada ila kumsifia jembe la kweli, waziri wa elimu Fred Matiang'i. Jamaa anadhubutu, tena bila uoga kabisa. Hongera zake.
 
Lofa wewe maabara zimejengwa na serikali ya awamuvya NNE na vifaa pia vimenunuliwa na awamu hiyo alichokifanya Magufuli ni kumaliza tatizo la madawati
 
Big up! Hata mimi huwa linaniumiza sana kichwa swala hili, kwangu mitihani ya siku moja baada ya masomo ya miaka saba au minne ama miwili, sidhani kama inakidhi kumpima mtu. Ningekuwa na nafasi ktk kutengeneza mtaala hapa nchini, ningeweka mfumo ambao mtu hapimwi kwa mtihani wa mwisho tu.

Naamini mitaala yetu imezika vipawa vingi sana ambavyo leo vingetusaidia, elimu sio vyeti.
 

sisi yetu ni universal secondary education. kila mtoto lazima asome kuanzia darasa la tisa mpaka 12 akiweza na kupenda mpaka 14.
 
Hii new curriculum itakua gali sana, Tuwe tayari kuongezewa kodi manake tayari wizara ya elimu ndo inapata % kubwa zaidi ya bajeti ya Kenya ikiwa karibia $2B USD, tuwe tayari kuona ikipandishwa....

Lakini ni vizuri vile wameamua ku impliment kuanzia darasa la kwanza alafu kila mwaka wanasonga nao darasa lifwatalo tofauti na vile walifanya free primary education ambapo wali impliment madrassa yote kwa mpigo quality ikashuka ......

Hii curriculum inafunza mtu kujua kufanya badala ya kujua kujibu maswali tu..
 
sisi yetu ni universal secondary education. kila mtoto lazima asome kuanzia darasa la tisa mpaka 12 akiweza na kupenda mpaka 14.
Sasa nani amebisha? Hapa tunaongea kuhusu mtaala mpya wa elimu Kenya. Sio injili ndo tunaeneza hapa.
 
Alafu hii curricula ndo ile itakua na hadi lugha ya ishara (sign language) kama lugha mojawepo lazima wanagunzi wote wa primari wasomee kando na luga ya English na Kiswahili ili kila mkenya awe na uwezo wa kuongea na bubu/kiziwi, yani jamaa walifikiria kila kitu kwa hii curriculum mpya.
 
Tanzania: Country Illiteracy Rate On the Rise - allAfrica.com
sisi yetu ni universal secondary education. kila mtoto lazima asome kuanzia darasa la tisa mpaka 12 akiweza na kupenda mpaka 14.


The country's illiteracy rate has gone up by one per cent to reach 23per cent at the end of last year. The Adult and Non-Formal Education Director, Basilina Levira, said the figure increased from 77 per cent in 2012 to 78 per cent in 2015.
The Director, under the ministry of education and vocation training, was speaking at the 50th International Literacy Day.
This year marks the 50th anniversary of International Literacy Day and UNESCO is celebrating it under the banner "Reading the Past, Writing the Future".
The Day celebrates and honours the past five decades of national and international engagement, efforts and progress made to increase literacy rates around the world.
The event also addresses current challenges and looks to innovative solutions to further boost literacy in the future.
 
sisi yetu ni universal secondary education. kila mtoto lazima asome kuanzia darasa la tisa mpaka 12 akiweza na kupenda mpaka 14.

Sasa inakuaje tunawashinda kwenye literacy rate, ama ndio zile zenu za bora elimu badala ya elimu bora, mtu anakamilisha shule lakini boya hawezi hata kusoma wala kuandika ipasavyo.
Hebu angalia humu JF jinsi wengi wenu huandika, walau wachache mnaokuja kuja upande huu wa Kenya huwa mnajitutumua na kuwa makini, lakini ukiingia JF kwenye kwenye nyuzi za Kitanzania huwa vituko na majanga, uandishi wa kiajabu.
 
bora waajibike vilivyo,bigup matiangi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…