Shukrani sana kwa ku-share hiyo soft copy.Kitabu nilichotumia A level Physics ni hiki hapa, na tulikimaliza chote ndani ya miaka miwili. Ninatafuta kitabu cha Physics A level kinachotumiwa leo sijafanikiwa kukipata; mwenye kopi yake anisaidie. Ninajua kuna topics ambazo zimeshiptwa na wakati, kwa mfano zile za Cathode Rays na Thermionic Valves zitakuwa zimeshapitwa na wakati lakini ningetegemea kuwamo kwa topics za kisasa zaidi za semiconductors na solid state electronics.
Pitia na hapa: S. Chand's Principles of Physics For Class XIHicho ni form six current syllabus ukitaka na form five pia kipo