Mtaala wa elimu kuwasilishwa tare 6.2.2012

Mtaala wa elimu kuwasilishwa tare 6.2.2012

kajunju

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2011
Posts
999
Reaction score
317
Kopi 300 zitagawiwa kwa wabunge zinahusu mtaala wa elimu. Swali je tafurani ya bungeni leo asubuh, kwanin dr kawambwa akuwasilisha kopi? Nchi ni usanii kila kukicha
 
Watatumia siku hizi chache kuandaa kiusanii na kuburuza nakala, bora liende!
Wabunge wanataaluma sasa watumie vizuri nafasi hiyo kuuchunguza mtaala na kuona kama unaendana na uhalisia.
 
Yani ni usanii mtupu. Kama fotokopi zinakosa bungeni, je mtu akiomba doc ya serikali akiwa kigoma si itakuwa baraha? Hivi dr kawambwa udaktari wake ni wa nini? Ndugai baada ya kuyasema haya hakuruhusu muongozo wowote. Ameamua kumaliza bunge. Usanii huu ndio unawagalimu ccm hakuna mchawi mwingne
 
Hata kama watatoa hizo copy za mtaala,bado Elimu yetu imeisha vurugwa.kampuni za vigogo zinaongoza kuchapisha vitabu fek
 
Wanajamvi naomba kuuliza, hivi kilichotakiwa kuwasilishwa na Mh. Mbatia (Mbunge wa JK) tarehe 6.2.2013 katika bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni MTAALA (CURRICULUM) au MIHTASARI (SYLABI)?
 
Wanajamvi naomba kuuliza, hivi kilichotakiwa kuwasilishwa na Mh. Mbatia (Mbunge wa JK) tarehe 6.2.2013 katika bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni MTAALA (CURRICULUM) au MIHTASARI (SYLABI)?

ni mtaala c sylabus
 
Nchi inajipeleka yenyewe hamna anayeiongoza.
 
Kopi 300 zitagawiwa kwa wabunge zinahusu mtaala wa elimu. Swali je tafurani ya bungeni leo asubuh, kwanin dr kawambwa akuwasilisha kopi? Nchi ni usanii kila kukicha

Mtaalamu tumeshalishwa matango mwitu kibao tangu Josseph Mungai aharibu Mitaala akiwa waziri wa Elimu nchi haina mitaala rasmi mpaka leo kilichopo ni rasimu ya mitaala ndiyo maana Kawambwa alikuwa anajitafunatafuna tu pale kwa wajuao mambo ya kitaaluma kama haya mtaala si kitu cha kushindwa kukiwasilisha pale kama wanacho na waliahidi kuileta bungeni tangu novemba mwaka jana. Kile alichoonesha Kawambwa bungeni ni rasimu ya Mitaala hiyo ndiyo maana aligwaya hata kuiwasilisha kwa Naibu spika.

Kinachokwenda kufanyika sasa kabla ya tarehe 6 ni kuchakachua na kuchapisha zile rasimu na kujifanya ndiyo mitaala yenyewe. Nchi imeoza hii kabisa
 
Nasubiri ikiwa kama Wabunge watapewa rasimu kisha kufurahia, ndipo nitajua rasmi nani Mbunge zuzu. Naamini ni rasimu kwa kuwa kama ni suala la kuchapa DSM na kutuma Dodoma, kwa nini ichukue takribani wiki?
 
Kopi 300 zitagawiwa kwa wabunge zinahusu mtaala wa elimu. Swali je tafurani ya bungeni leo asubuh, kwanin dr kawambwa akuwasilisha kopi? Nchi ni usanii kila kukicha

maajabu yanapaswa kuingizwa kwenye pilisner lager book yaani kusafarisha vitabu 300 kutoka Dar EsSalaam mpaka Dodoma inachukua siku nne mbona Waziri wa nishati na madini Profesa Sospeter Muhongo aliagiza mafuta ya kuwashia mitambo ya umeme yapelekwe ubungo sijui ilikuwa lita ngapi na chombo gani cha kubebea na mwandika requisition voucher, hundi alikuwepo hapo tanesco muda huo anawapigia simu kutoka toka bandarini yeye akiwa Dodoma baada ya masaa 24 akawakuta kina Muhamdo bado hawajachukuwa mafuta akasema hii ni hujuma (sikiliza hotuba yake ya bajeti 2012-2013) sasa na kina Mbatia waseme nini kuhusu hii kadhia.
 
we kilaza kweli-kweli,unashindwa kujitambua mpaka sasa uko mwaka gani,cheki huo mwaka wako uliotuandikia! mimi nina wasiwasi na wewe maana inaonekana umekurupuka tu na hata hujui kinachoendelia,,,
"think twice before you done"
 
Back
Top Bottom