ntagunga
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 704
- 285
Wana jamvi salam.
Nipo darasani, mwl anayefundisha anatufundisha namna ya kuandaa somo. Katika maelezo yake anasema:-
Inàanza CURRICULUM yaani mtaala.
Inafuatia COURSE OUTLINE(SYLLUBUS)
Inafuata SCHEME OF WORK
Na mwisho, LESSON PLAN.
Mafundisho ya mwalimu, yakanikumbusha Mbatiaàlisema TZ hatuna MTAALA(CURRICULUM). Nimemwuliza mwl. Alikuwa na maana gani? Mwalimu anasema wanasiasa huwa wana malengo yao. Nikumbusheni wadau, sakata lile, lilimalizika vp?