Nijuacho mimi Mh. Mbatia mbunge wa rais, alikuwa kazini ili kuhamisha mjadala, watu wasifikirie mambo mengine ya msingi waanze kufikiria mtàala. Sasa sylubus tulizosoma zimeoka wapi kama hakuna mitaala? Na lini engineer akawa msemaji wa mwalimu? Anyway, tusubiri majibu toka kwa wadau wengine