Mtaala wa Udaktari Udurusiwe

Acha uongoo wako hapa, huoni aibuu khaaah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umezaliwa lini? Na wapi?

Unajuwa kitu kinaitwa Matriculation?

Form Six wengi walifaulu vizuri sana ACSEE lkn wakafeli Matriculation na kukimbilia Diploma. Jifunze kubishana kwa evidence.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanazitamani Degree, na uwezo hawanaaa.
Advanced Diploma iko Tz!? Napata shida na kiwango cha uelewa wako.

Una habari kama Diploma ukijiunga Chuo Kikuu inahesabiwa ama sawa au zaidi ya Form Six points 3?

Unajuwa kama mwenye Diploma au Cheti anapoingia Chuo Kikuu anakuwa tayari yuko kwy fani lakini Form Six bila Diploma au Cheti anakuwa hajajuwa lolote kuhusu fani?
 
Hayo muhitimu wa 4m 6 atayakuta chuoni tena ngazi ya degree. Hao wa Diploma watajijei.
Wasipoenda chuo wote mwenye Diploma na yule wa Form Six bila Diploma wala Cheti wakaamua kutafuta ajira kwanza unadhani nani ataajirika kwanza na kirahisi? Na sababu ni nini?
 
Kwanza nina wasiwasi na uelewa wako wa mambo.
Kuna Ngazi ya Cheti(astashahada/Certificate)- miaka 2. Hawa wakihisajiliwa wanajulikana kama- Tabibu wasaidizi( Clinical Assistants).

Halafu ndio kuna Stashahada(Diploma)- Tabibu(CO). Hii ni 3 years.

Nikija kwenye mada
Vyuo vingi kwa MD miaka Miwili ya Kwanza, Wanasoma Basic Sciences- Anatomy, Physiology, Biochemistry, Pathology, n.k.
Hapa wanakuwa deep,

Mfano
Hiyo Anatomy- wana-explore human body from head to toe. Every Muscle,bone, joints, falcia, blood Vessels, Nerves, Organs n.k in theory and Practicals.
Hiyo ni Anatomy tuu, Njoo Biochemistry, Njoo Pathology( hapa wanasoma every disease associated with human body). Bado Physiology, Microbiology n.k.

Sasa Hivi Vitu kwa Diploma na Certificate hawavisomi kwa Undani Huu( ndio maana wanasoma muda mchache)

Huwezi kumchukua mtu wa Diploma then umpaishe aanzie kwenye Clinical subjects.
Lazima atasumbuka, kuna Vitu vya muhimu ameviruka kwenye Basic Sciences.
 
Mwenye cheti cha utabibu anaitwa assistant clinical officer
Mwenye diploma ya utabibu anaitwa clinical officer.
Utendaji kazi ni ule ule hauna tofauti yoyote tofauti ipo katika vyeo tu
Labda mwenye Diploma angeitwa AMO (Assistant Medical Officer)
 
Ndo Yale Yale ya mtu wa Diploma in animal health and production, akitaka akasome BVM lazima afute 5 yrs Tena.
 
Kwa engineering ili upunguziwe miaka kutoka minne had mitatu kwa kusomea degree, lazima uendelee kusoma chuo hicho hcho kilichokupa diploma bila hivo minne inakuhusu.
 
Astashahada siyo cheti, ni vitu viwili tofauti. Iko hivi:-

1. Cheti ni Certificate.

2. Stashahada ni Diploma.

3. Astashahada ni Advanced Diploma (imefutwa Tz. Kuna mtu aliipachika tu kwa maslahi yake)

4. Stashahada ya Uzamili ni Postgraduate Diploma.

5. Shahada ni Degree.

6. Shahada ya Uzamili ni Masters Degree.

7. Shahada ya Uzamivu ni PhD.
 
Ok, ila point umeipata.
 
utatokaje kidato cha 6 kwenda diploma? Maana yake wewe kidato cha 6 ulifeli.
Bosi wewe ulisoma enzi ya mkoloni
Nilifuatilia mwaka jana waliochaguliwa kufanya Diploma ya Clinical medicine
Kwanza wote walikuwa na Div 1 kidato cha nne na kwa kidato cha sita pass nzuri
Ndio nikawaza kuwa serikali iliangalie hili kuwa hao wenye hizo pass wasiruhusiwe kuomba Diploma badala yake waombe Degree
 
98% ya wote mnaobishana hapa ni VIAZI MBATATA
 
Tanzania yetu PCB anasoma udaktari pekee, CBG na CBN et hawana sifa upuuzi tu

Nchi za America wao wanataka uwe na degree 1 (yoyote) ndio usome udaktari

Ipi ipo sawa?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kutokwenda kwako advance sio shida zetu. Hutaki acha kusomaa. Usituletee kelele hapa.
 
Umezaliwa lini? Na wapi?

Unajuwa kitu kinaitwa Matriculation?

Form Six wengi walifaulu vizuri sana ACSEE lkn wakafeli Matriculation na kukimbilia Diploma. Jifunze kubishana kwa evidence.
Kumbe walifeli matriculation, ndo ujue walifeli.

Sasa unakataa nn, khaaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

tafsiri yake hao walikuwa wanataka kusoma degree ya m.d na nafasi ya kusoma m.d wakakosa kutokana na competition kuwa kubwa kwa direct entry kutoka form 6.

kutoka form 6 kwenda diploma maana yake hiyo miaka miwili ya form 6 umepoteza bure.

kwani diploma huwa wanachukua kwa pass ya form 6??
 
Siyo kweli kuwa kila aliyepitia stashahada kwenda Chuo kikuu alifeli O-Level bali ni mbinu ya maisha kupata ujuzi mapema kwani lo lote linaweza kutokea A-level.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…