Mayela chalya's
Member
- Sep 7, 2013
- 25
- 42
What is LITI...hapo ukipata waliopita LITI au sua miaka kadhaa nyuma anaweza kukufaa, esp mwenye diploma na uzoefu wa miaka kadhaa, though hata fresh graduate akiwa na focus anaweza kuwa wa msaada pia. Kila lakheri kwenye project yako.
what is LITI
Itakuwa ni project Kubwa kama utahitaji mwingne nipo hapa japo sina utalam was vyeti, ila uzoefu kwa kuwa nmewah fuga pia ila kulingana na kukosa mtaji nilfelihabari watu makini.
Nmeandaa project au mapango wa kufuga kuku inarange 10m to 15m, kwasasa niko Dar lkn huu mpango naenda kuufanyia Tarime cz ndo naishi huko. nahitaji Mtu ambae atasimamia huu mradi wangu kama General manager, atakaa kwangu hadi atakapoamua kupanga au la. mshahara ntakubaliana nae, baada ya biashara kukua ntaisajili kama enterprise na huyo manager wangu ntampa nafasi ya kua ubia kama atapenda. kwa kifupi ni hayo tu[emoji1488]
Thanks, tuko pa1Itakuwa ni project Kubwa kama utahitaji mwingne nipo hapa japo sina utalam was vyeti, ila uzoefu kwa kuwa nmewah fuga pia ila kulingana na kukosa mtaji nilfeli
Na hayo uliyoyasema ndo risk kubwa katika hii project yangu. sina idea ya ufugaji ila nliwah kufanya sales ya kuku na mayai. kuhusu tarime uko sahihi kabisa, target yangu kubwa ni layers ila naanza na saso ili nikuze capital na kupata uzoefu wa mwaka mmoja alafu nachange nanunua cages na mashine ya chakula.Tarime unataka kufuga kuku wa aina gani? Una target soko lipi? Kule bado ni lower class mno mno unlesa utarget Hoteli za Serengeti nazo sasa maana yake ufuge hawa kuku wa kisasa kama layers na Broulers.
Tofauti na hapo sikushauri uwekeze ufugaji wa kuku Tarime, labda tu kama ni nilivyo eleza hapo juu.
Kuhusu Meneja nakushauri train hata Mke wako asimamie Project ya Million 15 kwa kuku sio kubwa kihivyo hivyo unaweza simamia au ukamuweka mkewako.
Watanzania sio kabisa linapo kuja swala la trust, mtazenguana tu.
Kwa layers 15million utaweza kufuga kuku 600 mpaka wanaanza kutaga ukiondoa gharama za ujenzi wa bandaNa hayo uliyoyasema ndo risk kubwa katika hii project yangu. sina idea ya ufugaji ila nliwah kufanya sales ya kuku na mayai. kuhusu tarime uko sahihi kabisa, target yangu kubwa ni layers ila naanza na saso ili nikuze capital na kupata uzoefu wa mwaka mmoja alafu nachange nanunua cages na mashine ya chakula.