CHE GUEVARA-II
JF-Expert Member
- Jun 17, 2010
- 571
- 158
Nimeamini kweli hii Tz ni kiboko!
Siku tukiruhusu kuwa na VISA ya aina moja ya Afrika Mashariki, halafu waKenya waje humu nchini - tutawafanyia kazi (they will be slave masters, we will be slaves)!
Biogas Tz haina umaarufu kiasi hiki?!
Check simgas.com iko tanzania mikocheniKwa namna nilivyoangalia biogas plants mbalimbali humo youtube nina ujasiri wa kuweza ku-design na kutengeneza biogas plant bora kabisa.
Tatizo litabaki kwenye kupata vifaa hivyo vitakavyotumia nishati hiyo ya gesi (jiko, friji, jokofu, taa, generator, pump n.k).
Nakushukuru sana kwa mwongozo wako.Check simgas.com iko tanzania mikocheni
Nakushukuru sana kwa mwongozo wako.
Nitawatafuta.