Mtaalam wa kuingiza games kwenye PS4

Mtaalam wa kuingiza games kwenye PS4

danjaboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
236
Reaction score
401
Kama nilivyoandika hapo juu wakuu, nilikuwa nahitaji kuelekezwa sehemu au mtu anaeweza kuniwekea games kwenye ps4 gharama nitalipa ila awe na uwezo mzuri siyo mbabaishaji akaniharibia.
 
Back
Top Bottom