Mtaalam wa kukata miti pembeni ya nyumba anahitajika

Mtaalam wa kukata miti pembeni ya nyumba anahitajika

Iboya2021

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2020
Posts
1,616
Reaction score
1,481
Wana Jf,

Ninahitaji mtaalam ambaye anauwezo wa kukata miti iliyooitiliza urefu pembeni ya nyumba mi ashoki imekuwa mirefu unajua iko pembeni ya nyumba inahitaji utaalam naomba mwenye ujuzi huo napatikana Tabata Kinyerezi tuwasiliane anifanyie hiyo kazi.
 
Back
Top Bottom