Mtaalam wa kutengeneza database ya shirika la afya

Mtaalam wa kutengeneza database ya shirika la afya

Samedi Amba

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2018
Posts
227
Reaction score
178
Habari za leo wanajamvi,
Kuna mchongo fulani hivi naifukuzia, nahitaji kujua kama kuna mtaalam yeyote (wewe au unayemfahamu) ambaye ana uzoefu wa kutengeneza electronic database ya shirika la afya k.m. chama cha madaktari, chama cha wauguzi (nk)

Focus ni kujua inatengenezwaje, uzoefu na possibility ya kufanya kazi pamoja katika hili. Nashukuru kwa kunisikiliza. Siku njema.
 
Sasa wewe kama huwezi, kwanini uhangaike na vitu usivyovijua? Acha uhuni. Wapewe kazi anaoifahamu kazi.
Najua sana. Tena nimewahi kutengeneza mpaka ya mashirika ya kimataifa, Nilitaka tu jicho la pili.
 
Back
Top Bottom