Samedi Amba
JF-Expert Member
- Nov 13, 2018
- 227
- 178
Najua sana. Tena nimewahi kutengeneza mpaka ya mashirika ya kimataifa, Nilitaka tu jicho la pili.Sasa wewe kama huwezi, kwanini uhangaike na vitu usivyovijua? Acha uhuni. Wapewe kazi anaoifahamu kazi.
Asante kwa jibu lako. Naomba kama una link ya database ya afya yoyote ambayo umewahi kutengeneza.Hizi ndio kazi zangu. Web based database. Karibu sana www.index.co.tz namba kila kitu.
Mkuu usiseme hivyo.unvyosema electronic database kama vile kuna nyingine isisyo electronic.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lugha yangu inaeleweka na mtu fulani mahali fulaniunvyosema electronic database kama vile kuna nyingine isisyo electronic.
Sent using Jamii Forums mobile app