Habari wana JF,
Mimi ni mtaalam wa lugha ya alama na mambo ya ukalimani kwa viziwi hapa Tz.
Kwa yeyote anaeendesha taasisi,semina,warsha au event yeyote na anataka kuwashirikisha watu wenye ulemavu(viziwi) kwa lengo la kutoa haki sawa kwa wote tuwasiliane kwa 0717118844.Nina uzoefu na nimesomea izi mambo