Fuqin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2018
- 306
- 625
Wiki 1 iliyopita nilitoka na family kutembea na gari yangu ni passo... Nina mtoto wa miaka 4 nikamuweka kwangu ninapoendesha wakati nipo kwenye mwendo kama speed 40 hivi akaja akaishika Gia akaipeleka kwenye R ... Gari haikusimama ila ilipungua mwendo kidogo na Mimi nikaiwahi nikairudisha kwenye D... Sasa sijui kama giabox itakuwa imepata tatizo kwasabab mlio wa engine umebadilika umekuwa kama vile silent ipo juu wakati zaman ilikuwa kimya sanaa halafu nikiendesha Gia zinajibadilisha haraka kuliko kawaida... Sasa tatizo hapo itakuwa nini na kipi nifanye ili irudi kama zamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app