Mtaalam wa magari pitia hapa

Fuqin

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2018
Posts
306
Reaction score
625
Wiki 1 iliyopita nilitoka na family kutembea na gari yangu ni passo... Nina mtoto wa miaka 4 nikamuweka kwangu ninapoendesha wakati nipo kwenye mwendo kama speed 40 hivi akaja akaishika Gia akaipeleka kwenye R ... Gari haikusimama ila ilipungua mwendo kidogo na Mimi nikaiwahi nikairudisha kwenye D... Sasa sijui kama giabox itakuwa imepata tatizo kwasabab mlio wa engine umebadilika umekuwa kama vile silent ipo juu wakati zaman ilikuwa kimya sanaa halafu nikiendesha Gia zinajibadilisha haraka kuliko kawaida... Sasa tatizo hapo itakuwa nini na kipi nifanye ili irudi kama zamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usirudie kumuweka mtoto mdogo mbele, watoto wakae seat ya nyuma.

Hafu mtoto kutoka kuvuta from D tonR duh mbona kama haiwezekani, maana gear zipo hivi: PRND so me naamini iliishia kwenye N. Haikufika R maana gari ingesimama ghafla sana.
 
Huyo mtoto unamlea Sana kizungu shukuru alivuta gear lever, ingekuwa handbrake jasho lingekutoka.

Mtoto endapo ikatokea akakaa mbele weka sheria kali kama za maabara:
1.Don't touch anything without permission
2.Don't play near driver area

Hakikiuka utaratibu baada ya kuambiwa, mpe stahiki ya viboko sisi ni waafrika usiige ulaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…