Mtaalam wa Mifugo na Ufugaji.

Mtaalam wa Mifugo na Ufugaji.

dazu

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2011
Posts
365
Reaction score
76
Wadau, niko Dar na nina shamba la heka 2, nataka kuanza project ya ufugaji Kitimoto. ni wapi nitapata mtaalamu wa mifugo anielekeze jinsi ya kuanza na kuwatunza vizuri?
 
0783618472 mpigie huyo jamaa atakusaidia yupo bagamoyo namwamini
 
Back
Top Bottom