dazu JF-Expert Member Joined Feb 26, 2011 Posts 365 Reaction score 76 May 9, 2013 #1 Wadau, niko Dar na nina shamba la heka 2, nataka kuanza project ya ufugaji Kitimoto. ni wapi nitapata mtaalamu wa mifugo anielekeze jinsi ya kuanza na kuwatunza vizuri?
Wadau, niko Dar na nina shamba la heka 2, nataka kuanza project ya ufugaji Kitimoto. ni wapi nitapata mtaalamu wa mifugo anielekeze jinsi ya kuanza na kuwatunza vizuri?
Tudai Haki JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 315 Reaction score 80 Apr 26, 2014 #2 0783618472 mpigie huyo jamaa atakusaidia yupo bagamoyo namwamini