Asante mkuu,Ni wazo zuri mkuu,kabla ya kukupa ushauri tungependa kujua nini lengo lako wewe,je ni kuwawezesha wanashamba wako wao kwa wao kuwasiliana kwa kutumia hiyo Wifi (LAN) au wao kuwasiliana na watu wengine walio nje ya huko shambani(WAN). Kwani kila moja ina tofauti zake na gharama zake ingawa moja ni baba wa mwingine(LAN+LAN=WAN)
Nimeanza kwa swali ni kwakuwa kama unataka hii ya pili kuna baadhi ya vitu vitakuwa nje ya uwezo wako hivyo inakulazimu kutegemea miundombinu iliyopo.Kama hii ya kwanza basi huitaji kumtegemea mtu,unaweza kufanya wewe mwenyewe.
Samahani kwa kujibu swali kwa swali.http://www.afroit.com
Mkuu,Nadhani kama walisema wataalam wengi juu naomba niongeze kiduchu.
Kwana inabidi ifanyike au ufanye survey ya uhakika kujua au ku project real requirement
- Je kuna Network yeyote ina exist?
- Je Ni komytuta ngapi kwenye LAN zinatakiwa kunganishwa kwenye internet
- Je hizi kompyuta zitakuwa kwenye jengo moja ? ziko majengo tofauti au floor tofauti? Kama ni majengo yako mbali mbali je kuna clear line of sight kati ya jeonga moja na jingine?
- Watumiaji wa internet watahitaji huduma gan? Kutuma na kusoma email? wanatakiwa waweze kudowload file kubwa mara kwa mara ( Movie, Miziki) Hii itakusaidia kujua Bandwidth utakajohitaji kutoka Kwa ISP.Hii inaweza kukusaidia kujua gharama utakazoitaji kulipa kila mwezi.
Ni maswali kama haya na mengine ndo yatakupa mwanga wa vifaa na gharama ya project yako. eg utajua
- AP Routers a na switch ngapi utahitaji.
- Urefu wa UTP cable utakazohitaji kuunganisha kompyuta na switch/router au kama kompyuta zako zitatumia wireless
Kwa hiyo si rahisi kupata mchanganuo sahihi hata wa kukadiria kama baadhi ya vitu kama hivi havijulikani. Kama unataka japo makadirio inabidi wewe uwe surveyor uje na data/picha zaidi wataalam wakusaidie .
Good Luck