Old - Hand
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 2,042
- 1,917
We jamaa bhaana.... nimecheka saaanahKwa mambo yalivyo sasa hata usifikiri unatatizo. Vyuma vimekaza sana
Mkuu ni kwel nna matatizo na sina msaada na sasa inapelekea hata kula siri na nalala muda mfup sana.cardiovascular ni homa ipi
Depression hiyo au Sonona. Mwisho wake utacomit suicidal... Utajiua.Habari wakuu,, naamin bado tuko wazima wa afya ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu.namba niende kwenye mada moja kwa moja.Wakuu nina matatizo yafuatayo 1:hasira za haraka 2: kugomagoma ovyo 3:kukaa peke yangu muda mrefu na mwisho 4: najikuta naongea peke yang na kujijibu,, na 5: ni MTU wa visasi. Wakuu msaada tafazal maana Hali c shwari kabsa na ck zinavozid songa mbele na Hali inazid.msaada tafazal
Nairobi wapo wengi hao wataalamHabari wakuu,, naamin bado tuko wazima wa afya ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu.namba niende kwenye mada moja kwa moja.Wakuu nina matatizo yafuatayo 1:hasira za haraka 2: kugomagoma ovyo 3:kukaa peke yangu muda mrefu na mwisho 4: najikuta naongea peke yang na kujijibu,, na 5: ni MTU wa visasi. Wakuu msaada tafazal maana Hali c shwari kabsa na ck zinavozid songa mbele na Hali inazid.msaada tafazal
Mkuu yaan nipo ktk kipind kigum sana ktk maisha yang mtarajiwa Wang kaondoka huu mwezi wa saba,,yaan nagombana na kila MTU,naongea pekeyang nalala kuanzia SAA na hakuna mawasiliano kbx ila kwao wameniita kwan nilishatoa mahari,,yaan naumia sana weng wananishauri niachane nae ila Moyo hautaki kbx.hayaelezek kwakwelPole sana wewe utakuwa na kovu kubwa sana la kuumizwa na moyo kama si wife basi mpenzi.......ila hii itakupelekea kufanya mambo mabaya hadi kukosa hata kula.
Mimi yalishanikutaga nilioa solution ni kujiua ayo yote uliyopitia ni kama mimi hakuna tofauti usiku nilikua silali na mchana sisinzii na pia nakaa pekeyangu kimyaaaa na sili ata ulete wali kuku sioni radha naona kama nakula mate acha tu yaaani Najua unavyoumia ila yataisha taratibu sana nilikonda sana mimi ilinichukua miaka 7 kusahau
Pole sana wewe utakuwa na kovu kubwa sana la kuumizwa na moyo kama si wife basi mpenzi.......ila hii itakupelekea kufanya mambo mabaya hadi kukosa hata kula.
Mimi yalishanikutaga nilioa solution ni kujiua ayo yote uliyopitia ni kama mimi hakuna tofauti usiku nilikua silali na mchana sisinzii na pia nakaa pekeyangu kimyaaaa na sili ata ulete wali kuku sioni radha naona kama nakula mate acha tu yaaani Najua unavyoumia ila yataisha taratibu sana nilikonda sana mimi ilinichukua miaka 7 kusahau
Mkuu yaan nipo ktk kipind kigum sana ktk maisha yang mtarajiwa Wang kaondoka huu mwezi wa saba,,yaan nagombana na kila MTU,naongea pekeyang nalala kuanzia SAA na hakuna mawasiliano kbx ila kwao wameniita kwan nilishatoa mahari,,yaan naumia sana weng wananishauri niachane nae ila Moyo hautaki kbx.hayaelezek kwakwel
Brother pole sana, msaada wangu hutaujutia endapo utaufuata. Fanya hivi; nenda you-tube mtafute mwanasaikolojia nguli Tanzania kwa sasa anaitwa Dr. Elie V.d waminian. Huwa yupo kila Juma pili katika kipindi cha chomoza clouds TV jaribu kudownload mafundisho yake toka aanze somo la kwanza na sasa amefika somo la kumi tano fuatilia A_Z. Believe me utakuwa poa hadi ujishangaeHabari wakuu,, naamin bado tuko wazima wa afya ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu.namba niende kwenye mada moja kwa moja.Wakuu nina matatizo yafuatayo 1:hasira za haraka 2: kugomagoma ovyo 3:kukaa peke yangu muda mrefu na mwisho 4: najikuta naongea peke yang na kujijibu,, na 5: ni MTU wa visasi. Wakuu msaada tafazal maana Hali c shwari kabsa na ck zinavozid songa mbele na Hali inazid.msaada tafazal
Pole sana hayo kila mtu anapitiaMkuu yaan nipo ktk kipind kigum sana ktk maisha yang mtarajiwa Wang kaondoka huu mwezi wa saba,,yaan nagombana na kila MTU,naongea pekeyang nalala kuanzia SAA na hakuna mawasiliano kbx ila kwao wameniita kwan nilishatoa mahari,,yaan naumia sana weng wananishauri niachane nae ila Moyo hautaki kbx.hayaelezek kwakwel