GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hapo unaposema kuwa dhamira yao mbaya sina uhakika napo hasa ukizingatia kuwa 'Kiitikadi' unaonekana ni Mpinzani uliyejazwa Sumu nyingi pia.Isikutishe Hawa jamaa dhamira zao mbaya tumeshuhudia zikiwarudia wenyewe, kila walifanyalo linabuma
Kwahiyo Mkuu unapingana na Mwanasaikolojia Mwandamizi (kama siyo Mbobezi) juu ya huu 'Utaalam' wake katika Saikolojia ya Picha na Kura?Hao ni wapiga kura wa zamani, wale vichwa vya kuku (wajinga), ambao hawajui wamchague nani mpaka wanaingia kituoni.
Siku hizi wananchi walio wengi wanayo elimu ya uraia, wameshafanya maamuzi mapema kabisa, ukiingia kituoni hata mgombea anayemtaka awe ukurasa wa tatu atatafutwa tu.
Kwahiyo NEC kama walidhani kumweka joni awe wa kwanza kutasaidia wamaulamba wa chuya.
Ina mashiko sanaWatu wengi sikuhizi wanajua kusoma na kuandika, so sioni kama kuna mashiko hapo maana inachukua chini ya sekunde 3 kumpata 'mbeba'maono.
Saikolojia ya Mzungu haiapply kwa mwafrica.....!!Kwahiyo Mkuu unapingana na Mwanasaikolojia Mwandamizi ( kama siyo Mbobezi ) juu ya huu 'Utaalam' wake katika Saikolojia ya Picha na Kura?
Sasa kama mtu unapiga kura kwa jina moja tu unaboreka vipi? Hebu tarehe 28 ifike nikamtwange mtu nyundo ya kichwani haraka."GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE asikudanganye Mtu 'Kisaikolojia' Mpiga Kura yoyote yule Siku ile ya Kupiga Kura huwa na 'mwamko' mkubwa wa 'Kuwapigia' wale ambao 'Picha' zao ni za Kwanza Kwanza na hasa kwa Namba 1 mpaka 3 tu na kwa 'Mazingira' ya Siku husika wengi Wao huwa hawataki wala hawapendi 'Kujichosha' na 'Kujiboa' kuwapigia wale wa Mwisho Mwisho hasa Namba 12 hadi 14" Mtaalam wa Saikolojia.